Share

Wakazi wa Dar wakiri ushoga na usagaji ni janga/ Machangudoa wanauza kwa watoto wa shule

Share This:

Mtandao wa Bongo5 Jumanne hii umezunguka katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam na kuangalia hali ya matukio ya kishoga na usagaji yapo kwa hali gani na wananchi wanazungumziaje hali hiyo. Hatua hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kuanzisha kampeni ya kupinga matendo ya kishoga na kueleza kwamba kwa sasa hali ni mbaya sana.

Leave a Comment