Share

Wakazi Wa Kigamboni Walalamikia Agizo La Mkuu Wa Wilaya

Share This:

Wakazi wa Mji Mwema katika wilaya ya Kigamboni wanaojihusisha na uchumbaji wa kokoto wamelalamikia agizo la mkuu wa wilaya hiyo la kuwataka waondoke maeneo hayo ya uchimbaji.

Leave a Comment