Share

Wakazi ‘Wasanii wamejitoa zaidi msiba wa Pancho kuliko mingine’

Share This:

Msanii wa muziki wa hip hip, Wakazi amedai wasanii wengi wamejitoa zaidi kwenye msiba wa Pancho Latino licha ya kutoonekana kwa wakati wa kumuaga katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es salaam. Rapa huyo amedai wasanii wengi walijua zoezi la kuaga litaa saa 5 na sio mapema kama lilivyofanyika.

Leave a Comment