Share

Wakazi zaidi ya 1000 wamuomba waziri Lukuvi kuingilia kati mgogoro Muheza.

Share This:

Wakazi zaidi ya 1000 waliopo katika vijiji vinne vilivyopo kata ya Pande Darajani wamemuoma waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi kuingilia kati kufuatia mashamba yaliyofutiwa hati mwezi wa sita mwaka huu na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kunyang’anywa kisha kupewa wenzao waliopo tarafa ya amani wilaya ya Muheza.

Leave a Comment