Share

Wakazi zaidi ya 1,200 wanakabiliwa na tishio la njaa Simanjiro.

Share This:

Wakazi zaidi ya 1,200 katika vitongoji vinne vya kijiji cha Kambi ya chokaa wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wanakabiliwa na tishio la njaa kutokana na mazao waliyopanda kukauka kwa kukosa mvua huku wakilazimika kuhamisha mifugo kwenda vijiji vya jirani kutafuta malisho baada ya kuanza kudhoofu.

Leave a Comment