Share

Wakenya wajitokeza kwa wingi kuchagua rais

Share This:

Wakenya wamemiminika kwa wingi katika vituo mbalimbali vya kupiga kura kuchagua rais na viongozi wengine katika uchaguzi mkuu wa Agosti 8. Utulivu umeendelea kutawala shughuli hiyo licha ya vituo vichache kukumbwa na hitilafu za hapa na pale

Leave a Comment