Share

Wakenya wanaoruka kwenye majengo ‘kama paka’

Share This:

Nchini Kenya kuna vijana ambao wamekumbatia mchezo wa kuruka kwenye majengo na vitu vingine jijini Nairobi. Mchezo huo hufahamika kama Parkour.

Leave a Comment