Share

Wakulima Wa Chai Wapatiwa Mafunzo Njombe

Share This:

Zaidi ya wakulima wadogo 200 wa chai mkoani Njombe wamenufaika na mafunzo ya mwaka mmoja ya kilimo cha zao hilo yenye lengo la kuwaimarisha wakulima katika kulima kilimo chenye tija.

Leave a Comment