Share

Wakuu wa makundi ya WhatsApp nchini Kenya waonywa

Share This:

Tume ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa Kenya imewatahadharisha wasimamizi wa makundi ya mawasiliano katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp kwamba watachukuliwa hatua makundi yao yakitumiwa kueneza chuki.Msemaji wa polisi nchini Kenya Charles Owino aeleza ni nani hasa atakayelaumiwa kwenye makundi ya WhatsApp.

Leave a Comment