Share

Wakuu wa Mikoa ‘asikamatwe mtu kwa show off’ -Mh.simbachawene

Share This:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI), Mhe. George Simbachawene amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kutotumia mamlaka yao vibaya ya kuwaweka ndani viongozi,watumishi wa umma na wananchi wengine kwa uonevu kwa kisingizio cha sheria kuwapa mamlaka hayo.

Leave a Comment