Share

WALICHOKIFANYA CLOUDS NA CCBRT “TUNATIMIZA MIAKA 25”

Share This:

Kituo cha Habari cha Clouds kwa kushirikiana na Hospitali ya CCBRT wametimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwa taasisi hizo ambapo wamekubaliana kufanya mambo mbalimbali ikiwemo ya kujitolea kusaidia watu wenye changamoto za Kiafya.

Leave a Comment