Share

Wanafunzi wataka hatua madhubuti mabadiliko ya tabianchi

Share This:

Wana hasira na viongozi wao na hawako tayari kukaa kimya. Wanafunzi katika zaidi ya nchi 100 kote duniani siku ya Ijumaa wameyaacha madarasa yao ili kushiriki maandamano ya mitaani kuwashinikiza viongozi wa ulimwengu kuchukua hatua juu ya mabadiliko ya tabianchi.

Leave a Comment