Share

Wanamuziki waburudisha wazee bure Ujerumani

Share This:

Huku janga la corona likiwakosesha watoa burudani wengi nafasi ya kufanya kazi zao, wanamuziki wa Deutsche Oper Berlin hapa Ujerumani wameamua kutoa burudani ya muziki bure katika makazi ya kulea wazee. #Kurunziujerumani 04.06.2020

Leave a Comment