Share

Wananchi waipongeza serikali ujenzi wa barabara ya juu Ubungo.

Share This:

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wameipongeza serikali kwa hatua iliyofikia katika ujenzi wa barabara ya juu ya Ubungo na kumtaka mkandarasi kuongeza kasi ili kukamilisha ujenzi huo kwa wakati.

Leave a Comment