Share

Wananchi walia na mkuu wa wilaya kuboreshewa barabara-Tunduru

Share This:

Wananchi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamemuomba mkuu wa wilaya mpya Mhe.Julius Mtatiro kuwatatulia kero za barabara ambazo zimekuwa zikiwakabili kwa muda sasa.

Leave a Comment