Share

Wananchi wamehamasishwa kuchangia mashine za Oksijeni ili kunusuru uhai wa watoto njiti.

Share This:

Wananchi wamehamasishwa kuchangia ununuzi wa mashine za Oksijeni na vifaa tiba vingine ili kunusuru uhai wa watoto wanaozaliwa nchini wakiwa njiti.

Leave a Comment