Share

Wananchi Waombwa Kuendelea Kuchangia Miguu Bandia Kwa Wahitaji

Share This:

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewaomba wananchi wote kuendelea kuchangia miguu bandia kwa watu wenye ulemavu ili waweze kupata huduma ya viungo hivyo.

Leave a Comment