Share

Wanandoa wanao ishi chini ya gari Yemen

Share This:

Mapigano ya wenyewe kwa wenyewe pamoja na migogoro mbali mbali nchini Yemen imepelekea familia hii kupoteza makazi yao. Hivi sasa wanandoa hawa wamelazimika kuishi chini ya Lori. #yemen #vita #siasa

Leave a Comment