Share

Wanariadha zaidi wakiafrika watoweka kusikojulikana

Share This:

Katika michezo ya jumuiya ya Madola iliyoingia siku yake ya nane huko Australia jumla ya wanariadha 42 wengi kutoka nchi za Kiafrika watoweka kusikojulikana huku onyo kali likitolewa na serikali ya Australia dhidi ya wanaotaka kukaa kinyume cha sheria nchini humo

Leave a Comment