Share

Wanawake na juhudi za kujikwamua

Share This:

Kutana na kinamama wanane wanaopambana na maisha wakizisaka pesa. Kikundi chao kinaitwa TUMAINI, kazi yao ni kutengeneza na kuuza juisi ya miwa maeneo ya Buguruni jijini Dar es salaam , Tanzania. Je wewe ni nani hata usijitume? Mwandishi wetu Ahmad Juma ametuandalia video hii kuhusu kina mama hao.

Leave a Comment