Share

Wanawanyoa watu maskini bila ya kuwatoza

Share This:

Kundi hili la vinyozi kwa jina ‘Angel’ nchini Ujerumani wanatoa huduma zao kwa watu wasiokuwa na makao pamoja na wale ambao hawana uwezo wa pesa kulipia. Je hali hii imewasaidia vipi? tazama vidio ufahamu zaidi.

Leave a Comment