Share

WANGIWASA Yabomoa Miundo Mbinu Ya Kuchepusha Maji Mto Mbukwa

Share This:

Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira wilayani Wanging’ombe WANGIWASA imebomoa na kuharibu miundo mbinu ya maji waliyojenga wanakijiji wa kijiji cha Imalinyi ili kuchepusha maji kwenye mto Mbukwa kinyume cha sheria.

Leave a Comment