Share

Wapiga kura Ulaya wachagua wawakilishi wa bunge

Share This:

Wapigakura nchini Uholanzi na Uingereza wameanza kuwachagua wawakilishi wa bunge la Ulaya. Uchaguzi huo utafanyika kwa siku nne miongoni mwa nchi wanachama wa Umoja huo.

Leave a Comment