Share

Wapiga kura waliolala vituo vya kupigia kura Kenya

Share This:

Baadhi ya wapiga kura katika kituo cha Shule ya msingi ya Moi Avenue jijini Nairobi walionelea heri kulala vituoni badala ya kujipanga kuamka asubuhi na mapema.

Leave a Comment