Share

Wasanii 10 wa Dudu Baya waliofanya vizuri 2017

Share This:

Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Dudu Baya ameachia list ya wasanii wake 10 wa muziki waliofanya vizuri ndani ya mwaka 2017. Rapa huyo aliimbia Bongo5 namba moja kwake ni Jux huku Alikiba na Diamond wakipewa namba 10. Je wewe list yake ikoje?

Leave a Comment