Share

Wasanii 2O wakatwa katika list ya Fiesta Dar

Share This:

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, Alhamisi hii katika kipindi cha Clouds360, amesema amepunguza wasanii 20 katika list ya wasanii ambao walipanga kuwepo kwenye show ya tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Jumamosi hii katika viwanjwa Leaders Club.

Leave a Comment