Share

Wasanii kupata BIMA za afya bure – Chama cha wasanii

Share This:

Naibu wa Chama cha Wasanii, Jimmy Mafufu amewataka wasanii wa muziki na filamu kujitokeza kwa wingi kupata BIMA za afya bure eneo la Posta jijini Dar es salaam.

Leave a Comment