Share

WASANII WAFANYA MAAMUZI, WAJIANDAA KUJENGA HOSPITALI

Share This:

Wasanii mbalimbali kupitia Taasisi ya Wazalendo Kwanza wametembelea na kutoa misaada katika Hospitali ya Vijibweni huku wakiahidi kujenga Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali hiyo.

Leave a Comment