Share

Wasanii wamtembelea Naibu Waziri Shonza baada ya kujifungua

Share This:

Wasanii wa kike wa filamu nchini Tanzania wamemtembelea nyumbani kwake Naibu Waziri wa Habari, Juliana Shonza ambaye amejifungua mtoto wa kike wiki chache zilizopita. Wasani hao ni Sengo Matilda, Mayamrisho, Joharichagulatz, Esha.s.Buheti pamoja na Mamaloraa .

Leave a Comment