Share

“Wasichana amsikubali kuolewa na wanaume wanaokaa mabondeni” Makonda

Share This:

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amewataka wanawake wa mkoani humo kutokubali kuolewa na wanaume ambao wanaviwanja mabondeni. Amesema hayo Alhamisi hii alipowatembelea wakazi wa kata ya Kilungule ambao nyumba zao zimeanguka kutokana na mvua kubwa zinazoendelea.

Leave a Comment