Share

Wasichana Mkoani Simiyu Kufikiwa Na Elimu Ya Kuepuka Mimba Za Utotoni

Share This:

Wasichana elfu kumi na tano mkoani Simiyu wakiwemo wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wanatarajiwa kufikiwa na elimu ya jinsi ya kuepuka mimba za utotoni na ukatili wa kijinsia.

Leave a Comment