Share

‘Wasichana wetu huwezi kuwakandamiza, Tumefanya hivyo kusudi kabisa..

Share This:

AyoTV ilipata nafasi ya kuzungummza na Mkuu wa Shule ya Babro Johanson Bi. Halima Kamote. Amezungumza mengi ikiwemo umuhimu wa kutokutumia adhabu kali kwa Wanafunzi haswa Wanafunzi wa Kike.

Unaweza wasiliana nao moja kwa moja kupitia johatrust.ac.tz au [email protected] au kwa kupiga namba 255 754 596 649 kufahamu menig zaidi kuhusu shule ya Babro Johanson.

Leave a Comment