Share

Watakiwa Kuondoka Maeneo Ya Hifadhi

Share This:

Wananchi katika mikoa ya Magharibi wametakiwa kuondoka katika maeneo ya hifadhi na kwenda kwenye vijiji walivyotengewa ili kunusuru uharibifu wa mazingira unaohatarisha maisha ya Sokwe mtu.

Leave a Comment