Share

Watakiwa Kutatua Kero Za Wafanyabishara Nzega

Share This:

Serikali imeiagiza halmashauri ya mji wa Nzega mkoani Tabora kukaa na wafanyabishara wa mji huo ili kutatua kero zinazowakabili na kuondoa migogoro ya mara kwa mara.

Leave a Comment