Share

Watano wafa na wengine 18 kujeruhiwa kwa ajali wilayani Korogwe

Share This:

Watu watano wamekufa papo hapo na wengine zaidi ya 18 kujeruhi baada ya gari dogo la abiria aina ya Noah kugongana uso kwa uso na gari aina ya Prado katika harakati za kutaka kulikwepa Trekta lililokuwa likijaribu kulipita gari la abiria.

Leave a Comment