Share

Watanzania walivyoomboleza kifo cha mchekeshaji King Majuto

Share This:

Msanii mkongwe na maarufu nchini Tanzania na Afrika Mashariki Amri Athuman maarufu Mzee Majuto amefariki dunia wakati akipata matibabu kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili iliyopo Dar es Salaam Tanzania. Viongozi, mashabiki na wasanii mbali mbali walimuomboleza msanii huyo nchini Tanzania.

Leave a Comment