Share

Watanzania walivyopokea mkutano wa Magufuli na Lowassa

Share This:

Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Edward Ngoyai Lowassa Jumanne alikutana na Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli na kumsifu sana kwa kazi anayoifanya.

Leave a Comment