Share

WATOTO WAMTELEKEZA MAMA “NLIZAA NA MPIGANIA UHURU AFRIKA KUSINI”

Share This:

Magreth Mali ni mmoja kati ya Wajane wanaoishi Mazimbu mkoani Morogoro ambapo aliolewa na raia wa Afrika Kusini, marehemu Oscar Mali ambaye alikuwa Mpigania Uhuru wa nchi ya Afrika Kusini.

Oscar Mali alifika Tanzania miaka ya 1980 akiwa na wenzake kama Wakimbizi waliokimbiza vuguvugu la Kikoloni nchini mwao. Oscar alikutana na Magreth ambapo waliishi na kuzaa na baada ya Oscar kufariki Bibi Magreth analalamika kuishi katika maisha magumu.

Leave a Comment