Share

Watoto zaidi ya 20 wenye vipaji waenda Sweden.

Share This:

#MICHEZO

#ITVTANZANIA

Zaidi ya watoto 20 wenye vipaji vya soka wameondoka nchini leo kuelekea Sweeden kwa ziara ya wiki moja huku wazazi wakiiomba TFF kuweka rekodi za watoto hao kwa manufaa ya timu ya taifa ya baadae.

Leave a Comment