Share

Watu 11 washikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji mkoani Mwanza

Share This:

Jeshi la polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 11 kwa tuhuma za mauaji ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Samweli John aliyefariki baada ya watuhumiwa hao kuvamia ofisi ya serikali ya kijiji cha Mgombani wilayani Sengerema na kisha kumshambulia kwa fimbo, mawe na silaha nyingine za jadi hadi kumuua.

Leave a Comment