Share

Watu 34 wafariki Uganda kufuatia maporomoko ya ardhi

Share This:

Watu 34 wameripotiwa kufa nchini Uganda kufuatia maporomoko ya ardhi na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa. Watu kadhaa bado hawajulikani waliko. Shughuli za uokozi zinaendelea katika eneo hilo la mkasa karibu na Mlima Elgon

Leave a Comment