Share

Watu 4 wa familia moja wapandishwa mahakamani Kisutu, DSM kwa taarifa za uchochezi.

Share This:

Watu wanne wa familia moja wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, Dar es Salaam kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uchochezi kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Leave a Comment