Share

Watu 55 wafariki katika ajali ya basi Kenya wakielekea Kisumu

Share This:

Watu 55 wamefariki dunia nchini Kenya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupata ajali kwenye barabara kuu ya Nairobi-Kisumu.
Walioshuhudia wanasema kuwa ajali hiyo ilitokea leo mwendo wa saa kumi na moja alfajiri.
Ajali hiyo mbaya ilitokea katika eneo la Fort Ternan Kaunti ya Kericho.

Leave a Comment