Share

Watu 56 walivyonusurika kifo baada ya boti kuwaka moto.

Share This:

. . WATU 56 WAMENUSURIKA KIFO BAADA YA BOTI WALIYOKUWA WAKISAFIRIA KUTOKA KEMONDO KUELEKEA BUMBILE KATIKA ZIWA VICTORIA MKOANI KAGERA KUWAKA MOTO.

MKUU WA MKOA WA KAGERA BRIGEDIA JENERALI JENERALI MARCO GAGUTI AMESEMA BOTI HIYO YENYE UWEZO WA KUBEBA ABIRIA 84 ILIKUWA NA ABIRIA 56 PAMOJA NA MIZIGO NA ILIPATA HITILAFU KATIKA INJINI NA KUZIMA HIVYO KULETA TAFRANI ILIYOSABABISHA WENGINE KUJITOSA KWENYE MAJI NA KUOKOLEWA NA MAJERUHI NI WATATU

Leave a Comment