Share

Watu 8 wakamatwa kwa tuhuma za kutaka kumtoa mtoto kafara mkoani Ruvuma.

Share This:

Polisi Mkoani R uvuma inawashikilia watu wanane , wakiwemo wanne kutoka Mkoani Njombe kwa kufanya ramli chonganishi katika Mlima Mgwijima Wilayani Namtumbo miongoni mwao akiwemo mwanamke mmoja mkazi wa Makambako Mkoani Njombe, Bi.Oliva Kaduma akidaiwa ku taka kumtoa kafara mtoto wake.

Leave a Comment