Share

“Watu wanalia machozi, Serikali inasema mambo ya kilimo” – Sakaya

Share This:

Mbunge wa Kaliua Magdalena Sakaya alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliosisimama Bungeni Dodoma leo November 8, 2018 wakati wa kuchangia mapendekezo ya mpango wa maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2018/19 ambapo alilieleza Bunge kuhusu changamoto wanazokutana nazo wakulima huku Serikali ikishindwa kuzitatua.

Leave a Comment