Share

Wavulana wote 12 waokolewa Thailand

Share This:

Jeshi la Majini la Thailand linasema wavulana wote 12 pamoja na kocha wa timu yao ya mpira wameokolewa kutoka kwenye pango lililofurika maji kaskazini mwa nchi hiyo na hivyo kuhitimisha mkasa uliochukuwa siku 18 na kuuleta pamoja ulimwengu mzima. Papo kwa Papo 10.07.2018

Leave a Comment