Share

Wavuti ya Ma3Route suluhisho la msongamano Nairobi

Share This:

Ma3Route ni wavuti inayotumika katika simu za mkononi kwa kutuma ujumbe mfupi ambayo kwa sasa ni jukwaa muhimu katika kutoa taarifa za usafiri nchini Kenya. Ni mtandao unaotoa taarifa za hali ya barabarani pamoja na kuelekeza njia na kutoa ripoti zinazohusu uendeshaji magari. Jukwaa hilo la Ma3Route linalenga kurahisisha shughuli za usafiri katika nchi zinazoendelea.

Leave a Comment