Share

Wawakilishi wateule wa CUF watoa msimamo wao kuhusu ZEC.

Share This:

Zaidi ya wawakilishi 27 wateule kwa tiketi ya CUF katika baraza la wawakilishi visiwani Zanzibar wamesema hawako tayari kukubali kurudiwa kwa uchaguzi huo kwani wao wamechaguliwa kihalali na wazanzibar.

Leave a Comment