Share

”Wazanzibari 39,999” yataka muungano uvunjwe

Share This:

Kundi la ‘Wazanzibari 39,999’ limefikisha shauri katika mahakama ya Afrika Mashariki, kupinga muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Awali, mahakama ililikataa shauri hilo kwa hoja kuwa halikufuata utaratibu wa kisheria.

Leave a Comment